SERA YA FARAGHA

Sera ya Faragha (Utekelezaji wa GDPR)

Ukusanyaji wa Taarifa, Matumizi, na Kushirikisha.

Sisi ndiyo wamiliki pekee wa taarifa zinazokusanywa kwenye tovuti hii. Tunaweza tu kufikia au kukusanya taarifa ambazo unatupa kwa hiari kupitia barua pepe au kupitia ukurasa jumuishi au mawasiliano mengine ya moja kwa moja kutoka kwako, kama vile maulizo ya usaidizi.

Hatutauza au kukodisha habari hii kwa mtu yeyote, tutatumia taarifa zako kukujibu kuhusu sababu uliyowasiliana nasi. Hatytashirikisha taarifa zako na mtu mwingine wa tatu (third party) nje ya shirika letu, mpaka pale itakapotubidi kufanya hivyo ili kutimiza ombi lako. Isipokuwa, ukituomba tusifanye hivyo, tunaweza kuwasiliana nawe kwa njia ya barua pepe kukuambia kuhusu vitu maalum, bidhaa au huduma mpay au mabadiliko ya sera hii ya faragha. 

Agizo (Kuagiza Bidhaa)

Tunaomba taarifa kutoka kwako ili kuangalia mchakato. Ili kununua kutoka kwetu ni lazima utoe taarifa za mawasiliano kama vile (jina, anwani ya barua pepe na ananwani ya usafirishaji) na taarifa za kifedha kama b vile nambari ya kadi ya malip, tarehe ya mwisho ya kutumika kwa kadi ya malipo (expiry date). Taarifa hii inatumika kwa ajili ya “bill” na kujaza maagzo/ order yako. kama tukipata changamoto katika kuandaa “order” yako/vitu ulivyoagiza tutatumia taarifa hizi kuwasiliana nawe. Kwa nyongeza, kwa kuagiza vitu kuoka kwenye tovuti yetu unakubaliana na kuturuhusu kukufuatilia kupitia barua pepe yako kukupa taarifa za bidhaa mpya ambazo unaweza kuzipenda. Unaweza kuchagua njia ya mawasiliano kati ya haya wakati wowote.

Vidakuzi

Tunatumia vidakuzi/ “cookies” kwenye tovuti hii. Kidakuzi ni kipande cha “data” kinachotunzwa au kuhifadhiwa  kwenye tovuti upande wa mteja anayetembelea tovuti, kwa mfano tunapotumia kidakuzi kukutambua kunakuwa hakuna haja ya kuingia kwenye tovuti yetu kwa kutumia namba yako ya siri zaidi ya mara moja. Na hiyo inakusaidia kuokoa muda unapoakuwa unaweka order au kufanya maagizo ya bidhaa za kununua. Vidakuzi pia vinatusaidia kufuatiliana kulenga maslahi ya watumiaji wetu ili kuboresha matumizi kwenye tovuti yetu. Utumiaji wa vidakuzi haujaunganishwa kwa njia yoyote ya maelezo yoyote ya binafsi kwenye tovuti yetu.

Tafiti na Mashindano

Mara kwa mara tovuti yetu huomba taarifa kupitia uchunguzi au mashindano. Kushiriki katika tafiti au mashindano haya ni kwa hiari kabisa na unaweza kuchagua kushiriki au kutoshiriki na kwa hivyo kufichua maelezo haya. Taarifa zinazoombwa zinaweza kujumuisha maelezo ya mawasiliano (kama vile jina na anwani ya usafirishaji), na maelezo ya idadi ya watu (kama vile anwani ya posta, umri). Maelezo ya mawasiliano yatatumika kuwaarifu washindi na zawadi. Taarifa za uchunguzi zitatumika kwa madhumuni ya kufuatilia au kuboresha matumizi na kuridhika kwa tovuti hii.

Ufikiaji na Udhibiti Wako wa Taarifa Unaweza kuchagua kutoka kwa anwani zozote za ofa kutoka kwetu wakati wowote. Unaweza kufanya yafuatayo wakati wowote kwa kuwasiliana nasi kupitia meseji za simu/whatsaap, barua pepe au nambari ya simu iliyotolewa kwenye tovuti yetu:

  • Angalia ni data gani tunayo kuhusu wewe, ikiwa ipo.
  • Badilisha/ sahihisha data yoyote tuliyo nayo kuhusu wewe.
  • Umefuta  yoyote tuliyonayo kuhusu wewe.
  • Eleza wasiwasi wowote ulio nao kuhusu matumizi yetu ya data yako.

Usalama

Tunachukua tahadhari za kawaida za sekta ili kulinda taarifa zako za  muamala. Unapowasilisha taarifa nyeti kupitia tovuti, maelezo yako yanalindwa mtandaoni na nje ya mtandao. Popote tunapokusanya taarifa nyeti (kama vile data ya kadi ya malipo ), maelezo hayo husimbwa kwa njia fiche au ya siri sana na kutumwa kwetu kwa njia salama. Unaweza kuthibitisha hili kwa kutafuta ikoni ya kufunga kwenye upau wa anwani na kutafuta “https” mwanzoni mwa anwani ya ukurasa wa Wavuti. Hatuhifadhi data ya kadi yako ya malipo  kwenye seva zetu. Ingawa tunatumia usimbaji fiche au wa siri sana kulinda taarifa nyeti zinazotumwa mtandaoni, pia tunalinda taarifa zako nje ya mtandao. Wafanyakazi wanaohitaji taarifa ili kutekeleza kazi mahususi pekee (kwa mfano, bili au huduma kwa wateja) ndio wanaopewa idhini ya kufikia taarifa zinazoweza kumtambulisha mtu binafsi. Kompyuta/seva ambamo tunahifadhi taarifa zinazomtambulisha mtu huwekwa katika mazingira salama.

Iwapo unahisi kuwa hatutii sera hii ya faragha, unapaswa kuwasiliana nasi.